Kila mtu anataman masha mazuri ambayo yanampa raha kila mara anapoyaishi,
Hii ni sawa kabisa, ni haki ya kila mtu kuwajibika ipasavyo ili kupata maish ahayo anayoyapenda yeye,
Katika kujitahidi kuayatafuta watu wengi wamejikuta wakiangua kia katika njia ambazo si sahihi ambazo zimewapelekea kupoteza wapenzi wao wakiwemo:-
- Wazazi
- Watoto
- Ndugu
- Marafiki wa karibu
- Fedha nyingi
Watu hao hapo juu huw wnapote kw namna az kishirikina pasipo wao kujua, pia huwa inawasababishia hata watu kupoteza wake zao kwa imani kwmba baada ya kupoteaza mke yamkini maisha yatabadilika, madanganyo yote hayo hayo yamekuw yakifanywa na ibilisi ilimaradi kuwapumbaza watu.
JE MKRISTO NI HAKI YAKO KUWA TAJIRI?
MUNGU wetu wa mbingunindiye MWENYE ENZI YOTE ,
Dunia na vyote viujazavyo nimali yake,wanyama wa porini, madini ,fedha na dhahabu ni mali yake ,ameweka vitu hivyo kwa makusudi kamili yan ili sisi wanadmu tuwze kuvitawala na kumiliki pamoja na KRISTO,
Hivyo ni vya kwetu sisi,
ni mali yako ila sasa ni jinsi ya wewe kumwendea MUNGU na kumkumbusha kuwa anapaswa akupe cha kwako mapema sana,
katika Isaya 45:11, MUNGU antaka tumuagize lolote juu ya wana wake,
kazi kwako ndugu yangu kumwagiza BWANA ili akujalie kadiri wya utajiri wa utukufu wake.