Zaburi 25:1-5
"Ee BWANA, nakuinulia nafsi yangu, Ee Mungu wangu , Nimekutumainia wewe nisiabike, Adui zangu wasifurahi kwa ............."
"Ee BWANA, nakuinulia nafsi yangu, Ee Mungu wangu , Nimekutumainia wewe nisiabike, Adui zangu wasifurahi kwa ............."
"........kwa maana BWANA Yesu usiku ule alipotolewa aliutwaa mkate naye akiisha kushukuru akaumega akawapa wanafunzi wake akisema, huu ndio mwili wangu ulio kwaajili yenu, fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu............................."

Mathayo 26:26-30
"...............................akautwaa mkate naye akiisha kushukuru akaumega akawapa wanafunzi wake akisema.....................sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa baba yangu, Nao walipokwisha kuimba , wakatoka nje kwenda mlima wa mizeituni.

MAOMBI
Tunakushukuru Mungu wa mbinguni kwaajili ya mwanao mpendwa Yesu Kristo ambaye ameutoa uhai wake kuwa dhabihu safi machoni pako kwaajili yangu,ili mimi mwenye dhambi niweze kusafishwa mwili na roho na kuwa kiumbe kipya mbele zako,
Nakushukuru kwaajili ya damu yake inisafishayo na kuniondolea makosa yote,
Asante kwaajili ya jina lake ambalo linanilinda,
Nakushukuru kwa neema ya wokovu ninayoipata katika neno lake la uzima,
Asante kwa Roho wako mtakatifu aniongozaye,anifundishaye,anishauriye na kunisaidia katika kufanya maamuzi ya maisha yangu ili niweze kuishi maisha matakatifu.
Ninakuomba sasa BWANA unijalie kuishi maisha ya ukamilifu na imani ili niweze kuitunza neema hii ya wokovu na kufanikiwa na kubarikiwa katika maisha yangu .
A M E N I.
No comments:
Post a Comment