Hii ni sawa kabisa, ni haki ya kila mtu kuwajibika ipasavyo ili kupata maish ahayo anayoyapenda yeye,
Katika kujitahidi kuayatafuta watu wengi wamejikuta wakiangua kia katika njia ambazo si sahihi ambazo zimewapelekea kupoteza wapenzi wao wakiwemo:-
- Wazazi
- Watoto
- Ndugu
- Marafiki wa karibu
- Fedha nyingi
JE MKRISTO NI HAKI YAKO KUWA TAJIRI?
MUNGU wetu wa mbingunindiye MWENYE ENZI YOTE ,
Dunia na vyote viujazavyo nimali yake,wanyama wa porini, madini ,fedha na dhahabu ni mali yake ,ameweka vitu hivyo kwa makusudi kamili yan ili sisi wanadmu tuwze kuvitawala na kumiliki pamoja na KRISTO,
Hivyo ni vya kwetu sisi,
ni mali yako ila sasa ni jinsi ya wewe kumwendea MUNGU na kumkumbusha kuwa anapaswa akupe cha kwako mapema sana,
katika Isaya 45:11, MUNGU antaka tumuagize lolote juu ya wana wake,
kazi kwako ndugu yangu kumwagiza BWANA ili akujalie kadiri wya utajiri wa utukufu wake.
No comments:
Post a Comment