Monday, April 18, 2011

UNAJUA KUWA UMEUSHINDA ULIMWENGU?

1Yohana 4:4
"Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na MUNGU nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia"


Leo, ni veme kukumbushana kuwa tu washindi katika maish ay ahapa duniani ambayo MUNGU mwenyewe alituandalia sisi ili tuweze kuyaishi.Hivyo ndugu wewe na mimi tu washindi katika maish akatika nafasi zifuatazo:-
  • Kazi nzuri
  • Kumiliki magari na majumba makubwa
  • Kampunij mbalimbali
  • Kuwa vongozi ili MUNGU aweze kuinuliw akatika nyanja mabalimabli za serikali na jamii kwa ujumla
  • Kuhudumu kwa uaminifu
  • Kutoa msaada na wala sio sisis kuanza kuomba msaada kwa watu wengine
  • Matajiri wa kuigwa kwani tutakuwa tukiongozwa na ROHO wake atutiae nguvu za utajiri
Unapokuwa muhitaji MUNGU anakusubiri tu umwambie unachohitaji ili ufanikiwe na pia anakungoja wewe uwe tayari il aweze ukumilikisha mali zake hivyo ndgugu hujachelewa hta kidogo bali yakubasa kukazana ili uweze kufiki akiwango kinachohitajika cha imani ili uweze kufanikiwa.

No comments:

Post a Comment