
.......ni kwa neema yake tu.........
Pamoja na hayo pia nitakuwa nikikupatia matukio muhimu yanayoendelea kutokea sehemu mbalimabli pamoja na shuhuda za watu ambao MUNGU amewafadhili na wengine wakiendelea kuifurahia neema hiii ya MUNGU iokoayoa.
Zaidi ya hayo utaweza kujifunza masomo mbalibali kama ville:
- jinsi ya kushinda,maombi
- ukombozi na mengine mengi kadiri ROHO wa MUNGU atakavyotukirimia.
KARIBU KATIKA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETHI
karibu kwa swali maoni au wazo ili kusaidiana katika kutumia nafasi MUNGU aliyotupa ili kuishi maisha ya ushindi.
ReplyDeletekwa sasa tunajiandaa na mkesha utakaofanyika pale Diamond jubilee,huu nimkesha wa kuliombea Taifa letu hivyo watu wote mnakaribishwa,maombi yako yananafasi kubwa ya kuleta mabadiliko katika Taifa letu.
ReplyDeletemaombi hayo yatafanyika siku ya ijumaa tarehe 15/04/2011 mpaka asubuhi ya jumamosi.
Hongera Justina, tupo nyuma yako
ReplyDelete